Friday, April 28, 2017

Man city yalazimisha sale na man united

27, apr 2017 ligi ya England alimahalufu kama Premier league iliendelea baadhi ya timu zilicheza katikati ya wiki hii moja.  kati ya mechi kubwa ikiyotazamwa na mashabiki wengi wa soka ni kati ya dabi ya jiji la Manchester kati ya man city akiwa nyumbani Etihad Stadium akimkaribisha Man United.

Mpaka dakika ya 90 za mchezo Man city na Man United walitoshana nguvu ya bila kufungana 0-0. 

ila kuna matukio mawili yaliyojitokeza ndani ya mchezo huo. 

›Tukio la kwanza, mchezaji wa Man united Fellaini kuzawadiwa kadi nyekundu dakika ya 84'.

›Tukio la pili, kipa wa Man city Bravo kupata majelaha katika dakika ya 78'  na kutolewa nje kwa matubabu zaidi.

Man city akibaki kwenye nafasi yake ileile ya nne akiwa na point 65 huku akifatiwa na Man United kwa tofauti ya point moja.

Sunday, April 23, 2017

Messi yaiua Madrid 3-2.

Apr 23, 2017 Mbio za kumalizia ligi nchini Spain alimahalufu La Liga jumapili hii kulikua kuna mechi nne ila mechi iliyokua ikatazamwa na wapenzi wa soka duniani ni El Clasico kati ya Real Madrid akiwa nyumbani Santiago BernabĂ©u akiwakaribisha watani wao wa jadi Barcelona. 

Madrid apokea kichapo cha goli 3-2 magoli ya Madrid yakifungwa na Casemiro dakika ya 28 pia dakika ya 77 Sergio Ramos amepigwa kadi nyekundu goli la pili likifugwa na James Rodriguez dakika ya 86.

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 33, goli la pili likifungwa na Ivan Raktic dakika ya 73, Lionel Messi kumaliza mchezo dakika ya 90.

Barcelona wanaongoza ligi kwa point 75 sawa na Madrid kwa tofauti ya magoli pia Madrid wapo nyuma kwa mchezo mmoja.