Sunday, April 23, 2017

Messi yaiua Madrid 3-2.

Apr 23, 2017 Mbio za kumalizia ligi nchini Spain alimahalufu La Liga jumapili hii kulikua kuna mechi nne ila mechi iliyokua ikatazamwa na wapenzi wa soka duniani ni El Clasico kati ya Real Madrid akiwa nyumbani Santiago BernabĂ©u akiwakaribisha watani wao wa jadi Barcelona. 

Madrid apokea kichapo cha goli 3-2 magoli ya Madrid yakifungwa na Casemiro dakika ya 28 pia dakika ya 77 Sergio Ramos amepigwa kadi nyekundu goli la pili likifugwa na James Rodriguez dakika ya 86.

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi dakika ya 33, goli la pili likifungwa na Ivan Raktic dakika ya 73, Lionel Messi kumaliza mchezo dakika ya 90.

Barcelona wanaongoza ligi kwa point 75 sawa na Madrid kwa tofauti ya magoli pia Madrid wapo nyuma kwa mchezo mmoja.


No comments:

Post a Comment