Dec 17 ligi kuu Tanzania bara imefunguliwa na mechi baadhi, ila kwa upande wa Mabigwa wa tetezi young africas walikipiga na JKT Ruvu katika uwanja wa uhuru dar es salaam. Yanga wameibuka washindi kwa mabao 3 kwa bila mabao hayo yakifungwa na simon msuva akifunga mabao mawili na goli moja wakijifunga JKT Ruvu kupitia mchezaji wao Michael Aidan.
Saturday, December 17, 2016
Matokeo ya mechi weekend hii
Ligi kuu ya EPL yaendelea kutimua vumbi weekend hii. Nimekuletea matokeo ya mechi zilizopigwa hii leo
Crystal palace 1-2 Chelsea
Middlesbrough 3-0 Swansea
Stoke city 2-2 Leicster
Sunderland 1-0 watford
West hum 1-0 Hull city
West brom 0-2 Manchester unt
Dec 18 kuna mechi zitaendelea kupigwa katika viwanja tofauti ikiwemo mechi kali ziadi arsenal na vijana wa jijini Manchester sio wengine ni Manchester city stori zote utazipata hapa hapa
Friday, December 16, 2016
Ligi kuu Tanzania bara ratiba
Ligi ya Tanzania bara yaanza kutimua vumbi leo hii ratiba kamili.
Ruvu shooting vs Mtibwa sugar
Mbao vs Stand united
Mwadui vs Toto
Ndanda vs Simba sc
Mbeya city vs Kagera sugar
JKT ruvu star vs Young africas
Uhondo wote utaupata hapa hapa KANDANDA ULIMWENGUNI
Shabiki wa sunderland anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa
Mtoto huyo shabiki wa sunderland anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa na madaktari wamewaambia wazazi wake ana miezi miwili tu ya kuishi kama wewe ni mwanamichezo tumwombee mtoto huyu mungu ampe maisha malefu kwa uishangilia clabu yake ya sunderland
Mrisho Ngassa kujiunga na mbeya city
December 25 ilikua ni siku ya mwisho ya kufungwa dirisha dogo la usajili Tanzania bara mchezaji wa zamani wa Young Africas na Simba sc Mrisho Ngassa kujiunga na clabu ya mbeya city kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Amejiunga na mbeya city baada ya kumaliza mkataba wake huko free state star ya Afrika kusini.
Thursday, December 15, 2016
Cristiano Ronaldo avunja rekodi kwa kutwaa Tuzo ya ballon d'ro
Mchezaji wa team ya taifa ya ureno anayechezea real madrid cristiano ronaldo baada ya kutwa tuzo Ballon d'ro kwa mara ya nne na kua mchezaji wa kwanza kubeba tuzo hiyo mala nyingi kuliko mchezaji yoyote yule kutoka nchi ya ureno takwimu zinaonyesha
1965-eusebio
2000-luis figo
2008-cristiano ronaldo
2013-cristiano ronaldo
2014-cristiano ronaldo
2016-cristiano ronaldo