Saturday, December 17, 2016

Yanga yatoa kichapo cha 3 bila JKT Ruvu

Dec 17 ligi kuu Tanzania bara imefunguliwa na mechi baadhi, ila kwa upande wa Mabigwa wa tetezi young africas walikipiga na JKT Ruvu katika uwanja wa uhuru dar es salaam. Yanga wameibuka washindi kwa mabao 3 kwa bila mabao hayo yakifungwa na simon msuva akifunga mabao mawili na goli moja wakijifunga JKT Ruvu kupitia mchezaji wao Michael Aidan.

No comments:

Post a Comment