Sunday, February 26, 2017

Man United washindi wa EFL Cup 2017 zidi ya Southampton

February 26,  2017 ndio siku ya historia kwa kocha wa Man United Jose Mourinho baada ya kuchukua kikombe cha EFL Cup.

Mechi ya fainali iliyochezwa katika uwanja wa Webley ili zikutaniasha timu mbili bola Manchester United na Southampton.

Man United imeibuka washindi wa goli 3-2 magoli yote mawili ya Southampton yakifungwa na Manolo Gabbiadini katika dakika ya 45 na 49.  Na magoli ya Manchester United yakifungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 19 na dakika ya 87 huku  Jesse Lingard akiifungia Man United goli la pili dakika ya 39.

Manchester United imechukua ELF Cup mala 5 huku Zlatan Ibrahimovic ndio amekua mfungaji bola wa ashindano hayo 2017 baada ya kuifungia Man United magoli 4.

Barcelona yamuua Atletico Madrid ugenini

Leo February 26 , 2017 La Liga imeendelea kutimua vumbi katika viwanja tofauti tofauti ila wapenzi wengi wa soka walitupia macho kwenye mechi ya Barcelona na Atletico Madrid.

Japo Barcelona imeonesha kiwango kidogo baada ya mechi iliyopata kupoteza zidi ya PSG lakini imeonesha ubola wake leo hii baada ya kupata ushindi mnono zidi ya wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid.

Atletico Madrid akiwa nyumbani kwake Vicente Carderon akiwakalibisha Barcelona amepokea kichapo cha bao 2-1.

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Rafinha dakika ya 64,  wakati dakika ya 70 Diego Godlin akisawazisha , Lionel Messi akimaliza mchezo kwa kuifungia Barcelona goli la pili na la ushindi katika dakika 86.

Barcelona wameka juu jumla ya point 54 wakifatiwa na Real Madrid akiwa na point 52 akiwa anakipolo kimoja mkononi.

Saturday, February 25, 2017

Simba yazihilisha ubabe wake kwa yanga

25, February 2017 kulikua na mchezo wa maludiano kati ya watani wa jadi Simba na Yanga Ligi kuu Tanzania bara katika uwanja wa Taifa Dar es salaam.

Baada ya sare katika mchezo wa round ya kwanza ya 1-1. Round ya pili imechezwa hii leo na simba kuibuka washindi wa goli 2-1.

Goli la Yanga limefugwa na Simon msuva dakika ya 4 kwa mkwaju wa penati , magoli ya Simba yamefungwa na Laudit Mavugo dakika ya 66, goli la pili lilifugwa na Shiza Kichuya akitokea bechi. 

Baada ya mechi hiyo Simba wamebakia kileleni kwa jumla ya point 54 huko Yanga wamebaki na point zake zilezile 49 akiwa na kiporo kimoja.

Wednesday, February 22, 2017

Madrid apokea kichapo kikali ndani ya dakika 10 kutoka kwa Valencia

Usiku wa kuamkia leo umechezwa mechi mmoja kataka kombe la La Liga kati ya Valencia akiwa nyumbani katika uwanja wa Mestalla akiwakaribisha Real Madrid.

Mchezo umemalizika kwa Real Madrid kupokea kichapo kutoka kwa Valencia cha bao 2-1 magoli ya Valencia yakifungwa na Simone Zaza katika dakika ya 5, na dakika ya 9 Fabiani Orellana akiwapatia Valencia goli la ushindi. Goli la kufutia machozi kwa Madrid lilikifungwa na Cristiano Ronaldo katika dakika ya 44.

Real Madrid akisalia nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi akimzidi mpinzani wake Barcelona point moja lakini Barcelona akiwa mbele kwa mchezo mmoja.

Matukio matatu yametokea kwenye mechi ya Manchester united akifuzu atua ya 16 bola komba la Europa League

Usiku wa kuamkia leo 22 Feb 2017 zilipigwa mechi ya maludiano kombe la UEFA Europa League baadhi ya mechi hizo moja ya mchezo ni kati ya Saint- Etienne akiwa nyumbani akiwakaribisha Manchester united.

Man united baada ya kuifunga Saint-Etienne 3-0 katika mchezo wa kwanza hapo Old Trafford.

Leo hii Saint- Etienne akubali kichapo akiwa nyumbani kwao katika uwanja wa Stade Geoffroy-Gichard Ufarasa kutoka kwa mashetani hao kushinda bao 1-0 goli likifungwa na Hernik Mkhitaryan dakika ya 16. St. Etienne achomolewa kwa jumla ya magoli 4-0 na man united kufuzu hatua ya kumi na sita bola ya Europa League.

Lakini katika mechezo huo yame ambatana matukio matatu tukio la kwa ni mchezaji aliyeipatia goli man united kuingia majeluhi, tukio la pili beki wa man united Eric bailly kupigwa kadi nyekundu katika dakika ya 63 na tukio la tatu kipa wa Manchester united  Sergio Romero ni siki yake ya kuzaliwa.

Tuesday, February 14, 2017

Ratiba ya UEFA CHAMPION LEAGUE usiku wa leo.

PSG VS BARCELONA
Usiku wa wanaume unaenda kuzihilishwa wazi siku hii ya leo kati ya mechezo miwili ya robo fainali ya kwanza liki kuu ya mabigwa UEFA Champion League. zitachezwa michezo miwili katika viwanja viwili tofauti ambao;

Paris Saint German vs Barcelona
Benfica                    vs Borussia Dortimund

Ila mechi itakayo tazamwa na wapenzi wa soka dunia na kati ya PSG akiwakalibisha Barcelona.
 Toa maoni yako kwa cumment yako kutabili kati ya mechi hzi mbili.