Wednesday, February 22, 2017

Matukio matatu yametokea kwenye mechi ya Manchester united akifuzu atua ya 16 bola komba la Europa League

Usiku wa kuamkia leo 22 Feb 2017 zilipigwa mechi ya maludiano kombe la UEFA Europa League baadhi ya mechi hizo moja ya mchezo ni kati ya Saint- Etienne akiwa nyumbani akiwakaribisha Manchester united.

Man united baada ya kuifunga Saint-Etienne 3-0 katika mchezo wa kwanza hapo Old Trafford.

Leo hii Saint- Etienne akubali kichapo akiwa nyumbani kwao katika uwanja wa Stade Geoffroy-Gichard Ufarasa kutoka kwa mashetani hao kushinda bao 1-0 goli likifungwa na Hernik Mkhitaryan dakika ya 16. St. Etienne achomolewa kwa jumla ya magoli 4-0 na man united kufuzu hatua ya kumi na sita bola ya Europa League.

Lakini katika mechezo huo yame ambatana matukio matatu tukio la kwa ni mchezaji aliyeipatia goli man united kuingia majeluhi, tukio la pili beki wa man united Eric bailly kupigwa kadi nyekundu katika dakika ya 63 na tukio la tatu kipa wa Manchester united  Sergio Romero ni siki yake ya kuzaliwa.

No comments:

Post a Comment