Friday, January 6, 2017

Hii ndio list ya wachezaji waliokamilisha usajili wao

OFFICIAL:
Kazi imeanza timu zimeanza kutoa ofa mbalimbali kwa ajili ya kujiimarisha kiusajili.

Hii ndiyo List ya Madili yaliyo kamilika mpaka sasa.

1: WILFRED NDINDI KWENDA LEICESTER.
Klabu ya Leicester  imekamilisha usajiliwa wa Kiungo kutoka Klabu ya GENK Kiungo  huyo amesaini mkataba wa miaka mitano.

2: JULLIAN DRAXLER KWENDA PSG.
Matajiri wa klabu ya Paris-Saint German, PSG. Wamemtambulisha Mchezaji wao mpya kutoka klabu ya WOLFSBURG. Mchezaji  huyo  amesaini  mkataba wa miaka 5, Kwa ada ya €36.!

3:ALEX WITSEL KWENDA CHINA.
Klabu ya Zeint imethibitisha kuwa nyota wao "Alex Witsel" ataenda kujiunga na timu ya soka China klabu ya  "Tianjin Quanjian"

4:LEONARDO PAVOLETTI KWENDA NAPOLI.
Klabu ya Napoli imenasaini ya Mchezaji "Leonardo Pavoletti" kutoka Genoa hii Leo.

5:TOMAS RINCON KWENDA JUVENTUS.
Klabu ya Juventus imemtambulisha
Kiungo wao mpya "Tomas Rincon" kutoka Katika klabu ya "Genoa".  Mchezaji  huyo amesaini mkataba wa miaka minne

6: PAUL CLEMENT NDIYE KOCHA MPYA WA SWANSEA.
Klabu ya Swansea City hii Leo Imemteua "Paul Clement" kuwa ndiye kocha mpya wa klabu hiyo Pia amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu.

No comments:

Post a Comment