![]() |
Countinho |
Philippe countinho amesaini mkataba mpya
Habari nzuri kwa mashabiki wa Liverpool mshambuliaji Philippe Countinho raia wa Brazil mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wake mpya wa miaka mitano kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2022.
Mbrazil huyo ametua Anfield akitokea Inter Milan mwaka 2013 chini ya kocha Brendan Rodgrers na kusaini mkataba huo akiwa moja kati ya wachezaji watakaolipwa pesa nyingi katika klabu hiyo pauni 15,000 kwa wiki.
No comments:
Post a Comment