Friday, January 6, 2017

Tetesi za Antonia Martial

Mshambuliaji hatari wa Manchester united na timu ya zamani Fc Monaco, A.k.a   "NEXT THIERRY HENRY"  kwa  namna anavo cheza akiwa uwanjani. Mchezaji huyu Siku za hivi karibuni ameusishwa na tetesi za kwenda kujiunga na klabu ya soka nchi Uhispania "SEVILLA".

Taarifa zinasema kuna uwezekano Mkubwa wa kijana huyu kutolewa kwa mkopo hapo "January".

No comments:

Post a Comment