Friday, January 6, 2017

Mchezaji wa KRC Genk ya Ubelgiji wilfred Ndindi asajiliwa Leicester City ya Uingereza


ONYINYE WILFRED NDINDI. Ni kiungo mpya wa Leicester city amesajaliwa toka krc GENk ya UBELGIJI. amecheza timu moja na  mshambuliaji hatari Wa timu ya taifa Tanzania MBWANA SAMATTA.
    NAKUPA HISTORIA FUPI YA NDINDI....
          Kiungo huyu alizaliwa 16 desemba 1996 huko jijini Lagos nchini Nigeria.bado kinda kabisa. Alitumia muda wake mwingi katika kucheza soka la mitaani pamoja na watoto wenzake kabla hajaonwa na maskauti Wa klabu ya GENK.
        mwaka 2015 hautasahaulika kwake kwani alifanikiwa kujiunga na klabu ya GEnk na kukabidhiwa jezi namba 25. Amecheza mechi  62 katika mashindano mbalimbali kabla hajauzwa

           Amelitumikia taifa lake kuanzia soka LA vijana hadi timu ya wakubwa japo bado hawaja na namba ya kudumu kikosini Kiwango chake murua kimemshawishi kocha Claudio Ranier  kutoa euro millioni 15 ili kupata huduma ya kiungo huyu maridhawa.  Kwa mchezaji  mweusi tena kiungo hizi ni pesa nyingi sana..

No comments:

Post a Comment