Wednesday, January 25, 2017

  • Liverpool kutolewa hatua ya nusu fainali ya EPL.
    goli la Long zidi ya liverpool.
usiku wa kuaamkia leo nusu fainali ya maludiano kati ya Liverpool akimkaribisha Southampton katika uwanja wa Anfield baada ya Liverpool kupoteza katika mchezo wa kwanza kwa goli moja bila. jana pia amepokea kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa southampton katika dakika ya 90' goli lililofugwa na Shane Long. hii ni historia nyingine iliyowekwa na Southampton kutinga fainali tangu mwaka 2003.

Southampton imetangulia fainali ikimsubili mshindi kati ya Manchester united na Hull City. united anakalibishwa ugenini baada ya ushindi wa goli mbili bila.

fainali inategemea kuchezwa tarehe feb,26 mwaka huu katika uwanja wa wembley.

No comments:

Post a Comment